All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Bunge
Live Leo
Bungeni Leo
Live
Bunge La Tanzania
Live
Bungeni
Leo
Bungeni Dodoma
Leo Live
Bunge La Tanzania
Bunge La Tanzania
Dodoma Leo
Bunge
Live Dodoma Today
Magazeti Ya
Leo Tanzania
Kenya Pastor Daughter
Bungeni Dodoma
Bunge
Dodoma Leo
Emmanuel Baptist Church
Bunge La
Katiba Leo
Bunge
Live Today
Magazeti Ya Kiswahili
Leo Tanzania
Dodoma
Leo
Magufuli Live
Magufuli Leo
Live
Bungeni Village Kadi Za
Bunge La
TZ
Mandamano Mbeya
Rais Magufuli
Leo
YouTube
Bungeni
Bunge Ya Tanzania
Live
U Tube Hotuba Ya Rais Bungeni
Leo
King Msukuma
Magufuli Dodoma
Leo
Bunge La
Dodoma 28 11 2014
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Bunge
Live Leo
Bungeni Leo
Live
Bunge La Tanzania
Live
Bungeni
Leo
Bungeni Dodoma
Leo Live
Bunge La Tanzania
Bunge La Tanzania
Dodoma Leo
Bunge
Live Dodoma Today
Magazeti Ya
Leo Tanzania
Kenya Pastor Daughter
Bungeni Dodoma
Bunge
Dodoma Leo
Emmanuel Baptist Church
Bunge La
Katiba Leo
Bunge
Live Today
Magazeti Ya Kiswahili
Leo Tanzania
Dodoma
Leo
Magufuli Live
Magufuli Leo
Live
Bungeni Village Kadi Za
Bunge La
TZ
Mandamano Mbeya
Rais Magufuli
Leo
YouTube
Bungeni
Bunge Ya Tanzania
Live
U Tube Hotuba Ya Rais Bungeni
Leo
King Msukuma
Magufuli Dodoma
Leo
Bunge La
Dodoma 28 11 2014
Bunge
Cha Kikao La Tanzania
Bunge
Emporia
Maandamano Mbeya
Mange Kimambi
Bunge La
Katiba Zito
Bunge La
Katiba YouTube
Bunge La
Katiba Sheria Na
Matukio Ya
Leo
Bunge
Live
ITV Habari Za
Leo Tanzania
ITV TANZANIA
HabariLeo
Bunge Live Leo
10 11 2020
Kutoka Bungeni
Leo
Tanzania
Live
ITV Taarifa
Ikulu
Tanzania
TBC Tanzania
Live Bunge Online
Matukio Ya
Leo Tanzania
Tanzania
Live New
TBC 1
Tanzania
0:40
DODOMA: LEO Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi vikao vyake jijini Dodoma, likianza na kikao cha kwanza cha Bunge hilo. Kwenye kikao cha leo, shughuli kubwa ni uchaguzi wa Spika, ambapo mgombea wa CCM, Mussa Azzan Zungu ambaye alikuwa Naibu Spika kwenye Bunge lililopita pamoja na wagombea wengine kutoka vyama vingine wanagombea nafasi ya Uspika. Ratiba pia inaonesha pia wabunge watamchagua Naibu Spika ambapo kwa Chama Cha Mapinduzi, jina lililopendekez
2.2K views
6 months ago
Facebook
HabariLeo
1:35
Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 9 Novemba, 2025 wakiendelea na zoezi la kujisajili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu unaotarajiwa kufanyika tarehe 11 Novemba, 2025. | Bunge la Tanzania
1.5K views
6 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
1:40
Waheshimiwa Wabunge Wateule wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 8 Novemba, 2025 wakijisajili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 11 Novemba, 2025. | Bunge la Tanzania
1.8K views
6 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
0:59
DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Iramba Magharibi, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 12, 2025, ameapishwa bungeni jijini Dodoma katika kikao cha pili cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 13, akijiunga na wabunge wengine waliokula kiapo cha kuanza rasmi majukumu yao ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #Habarileoupdates | HabariLeo
1.7K views
6 months ago
Facebook
HabariLeo
2:14
Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard akisoma Tangazo la Mheshimiwa Rais la kuitisha Bunge leo Novemba 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma | Bunge la Tanzania
4.2K views
6 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
0:52
📌Orodha ya Shughuli za leo, Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Nne tarehe 14 Novemba, 2025. | Bunge la Tanzania
675 views
6 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
2:53:37
BUNGE LIVE | Bunge la Tanzania
1.1K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
1:53
BUNGE LA 12 KUVUNJWA RASMI AGOSTI 13, 2025
3.1K views
10 months ago
YouTube
Nukta TV
3:01
Bunge la Ulaya leo Novemba 27, 2025 litajadili azimio linalohusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025 siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nchini Tanzania, haki za binadamu, ikiwemo kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu. Bunge hilo litapiga kura juu ya azimio la kutaka Tume ya Ulaya, EU kusitisha kuunga mkono moja kwa moja mamlaka ya Tanzania, kufuatia kile kilichotokea siku ya uchaguzi na baada ya baada ya uchaguzi: ukiukwaji wa haki za binadamu. - - #bbcswahili #tanzania #uchaguzi2025 #siasa
374.9K views
5 months ago
Facebook
BBC Swahili
12:29
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 5 Novemba, 2023 ameshiriki ibada katika Kanisa la TAG -International Christian Centre ( ICC ) lililopo Jijini Dodoma. Wakatihuohuo, Dkt. Tulia amewashukuru Watanzania wote waliokuwa wakimuombea mafanikio katika Uchaguzi wa Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani uliofanyika Oktoba 27, 2023 nchini Angola na kufanikiwa kuibuka na ushindi. | Bunge la Tanzania
8.6K views
Nov 5, 2023
Facebook
Bunge la Tanzania
11:45
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard akitangaza matokeo ya uchaguzi wa nafasi za Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge pamoja na nafasi za Uwakilishi katika Taasisi mbalimbali za Kikanda (PAP, SADC PF, IPU, Great Lakes) wakati wa Kikao cha Nane cha Mkutano wa Pili wa Bunge la 13, leo Februari 5, 2026 Jijini Dodoma. | Bunge la Tanzania
1.7K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
3:57
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akitoa salamu fupi wakati wa hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 15 Juni, 2024. | Bunge la Tanzania
543 views
Jun 15, 2024
Facebook
Bunge la Tanzania
0:58
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Daniel Sillo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Zambia, Mhe. Malungo Chisangano (Mb), alieambatana na ujumbe wake walipomtembelea leo tarehe 2 Februari, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine wamezungumza kuhusu kubadilishana uzoefu na kudumisha mahusiano yaliyopo baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Zambia. | Bunge la Tanzania
1.3K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
6:42
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo Machi 12, 2023 amehutubia Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea Nchini Bahrain ambapo kauli mbiu ya mkutano huo ikiwa ni “Kukuza amani na kujenga Jamii jumuishi yenye kuvumiliana”. . | Bunge la Tanzania
1.9K views
Mar 12, 2023
Facebook
Bunge la Tanzania
5:32
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua kikao cha kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba Dunia na utatuzi wake, wakati wa Mkutano wa Mwaka 2024 wa Jukwaa la Kibunge la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani ulioanza leo tarehe 15 Aprili, 2024 katika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Washington DC, nchini Marekani. | Bunge la Tanzania
1.2K views
Apr 16, 2024
Facebook
Bunge la Tanzania
0:11
📌Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Orodha ya Shughuli za leo, tarehe 30 Januari, 2026; Mkutano wa Pili, Kikao cha Nne | Bunge la Tanzania
1.4K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
0:17
📌Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Orodha ya Shughuli za leo, tarehe 28 Januari, 2026; Mkutano wa Pili, Kikao cha Pili. | Bunge la Tanzania
1K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
0:26
📌Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Orodha ya Shughuli za leo, tarehe 27 Januari, 2026;Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza. | Bunge la Tanzania
827 views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
2:51
Matokeo ya Uchaguzi wa Spika leo bungeni, Zungu amechaguliwa kuwa spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania. | Habari 24
5.2K views
6 months ago
Facebook
Habari 24
0:14
📌Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Orodha ya Shughuli za leo, Februari 2, 2026; Mkutano wa Pili, Kikao cha Tano. | Bunge la Tanzania
332 views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
2:38
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza katika hafla ya Uapisho wa Viongozi Mbalimbali wateule iliyofanyika leo Agosti 1, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. | Bunge la Tanzania
23K views
Aug 1, 2022
Facebook
Bunge la Tanzania
0:35
Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge wote kutoa Tamko la Ahadi ya Uzalendo wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Pili wa Bunge la 13, kinachofanyika leo Januari 27, 2026. | Bunge la Tanzania
11.3K views
3 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
0:54
Orodha ya Shughuli za leo, Bunge la 13 Mkutano wa 3, Kikao cha Nne, Aprili 8, 2026.
1.1K views
1 month ago
x.com
Bunge la Tanzania
2:33
Kiapo cha Uaminifu Mhe. Bahati Kenneth Ndingo Leo tarehe 31 Oktoba 2023, Bungeni Dodoma | Bunge la Tanzania
61.7K views
Oct 31, 2023
Facebook
Bunge la Tanzania
4:01:55
🔴Bungeni: JINA LA WAZIRI MKUU MPYA KUPENDEKEZWA na RAIS SAMIA - BUNGE LINAENDELEA DODOMA #tanzania
18.1K views
6 months ago
YouTube
HESSIE JAY PRODUCTION
1:07
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama ukibebwa na Wapambe wa Bunge wakati ulipowasili katika uwanja wa ndege wa Songea Mkoani Ruvuma leo tarehe 14 Desemba, 2025. | Bunge la Tanzania
5.8K views
5 months ago
Facebook
Bunge la Tanzania
1:27:25
🔴#LIVE: HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA RASMI BUNGE LA 12 JIJINI DODOMA...
179.7K views
Nov 12, 2020
YouTube
Global TV Online
2:17:16
🔴#Live: BUNGE la MOTO - JESCA MAGUFULI - MAKONDA - BABA LEVO WAUNGURUMA MBELE ya SPIKA - DODOMA
53K views
3 months ago
YouTube
Global TV Online
28:10
Yapi matarajio ya bunge la 13 nchini Tanzania? Katika Dira ya Dunia TV
92.1K views
6 months ago
YouTube
BBC News Swahili
4:24:52
🔴#LIVE BUNGENI: WAZIRI MKUU MPYA ANATANGAZWA MUDA HUU BUNGENI DODOMA
98.9K views
6 months ago
YouTube
BM TV TANZANIA
See more
More like this
Feedback