Kongamano la pili la Amani Kitaifa linatarajiwa kufanyika Julai 13, 2025 mkoani Dodoma, likihusisha viongozi mbalimbali wa dini kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari leo ...
VIONGOZI wa dini na wadau wa sheria na maendeleo wamewataka vijana nchini kudai haki zao kwa kufuata taratibu, sheria na mifumo rasmi ya nchi. Aidha, wawamesisitiza pia wajibu wa serikali wa ...